Zania ni duka la mtandaoni la Tanzania linalotoa bidhaa mbalimbali za ubora — vifaa vya watoto, magari, saa, zana, bustani, elektroniki, usafi wa nyumbani na zaidi — kwa bei nafuu na huduma ya haraka.
Tunaamini katika ubora wa bidhaa, uaminifu na huduma bora kwa wateja wetu. Kila agizo linathibitishwa na mmoja wa wafanyakazi wetu kabla ya kutumwa, ili kuhakikisha unapata exactly kile ulichoagiza.
Malipo yanafanyika unapopokea bidhaa yako (Malipo Baada ya Kupokea — COD), na usafirishaji ni BURE kwa maagizo yote.
